Luba express
ASANTE MZEE CHARTIER

FURAHA YETU KUONA WATEJA WAMELIDHIKA

Usafiri

Usafiri

Tunasafirisha abiria wenye safari mbali mbali ndani na nje ya nchi ya Burundi kama nchi ya Tanzania.
Tunawasaidia kusafirisha biashara na mizigo yenu.
Luba express imekuwa jibu kwa wana nchi hivi rahia wanashukuru kampuni yetu maana kila siku wanasafiri kutoka burundi kwendw kigoma ama kutoka kigoma kwenda burundi

jua kwamba waweza agiza mzigo kutoka burundi ukafika tanzania kwa usalam ama kutoka burundi kwenda tanzania pia 
kumbukeni kwamba tunakodisha magari pia luba express inawatakia mausha mazuri yasiokuwa na usumbufu wowote , luba express we believe what we do 
Bidhaa zetu

Bidhaa zetu

Luba express inazo bidhaa nyingi kama vile mafuta ya gali, vifaa  vya kutengeneza magali yenu vipo kwa wingi na kwa bei nafuu na vinapatikana
kwenye ofisi kuuya Luba express

Hatujasahau wavuvi vipo vifaa vya uvuvi tena vipo kwa vingi mnakaribishwa ili mpate huduma kulingana na mahitaji yenu
Huduma za ziada

Huduma za ziada

Luba Express inazo zingine huduma mbali mbali za kuwasaidia wateja wetu kama kupiga picha na video kwenye harusi zenu;

luba express imefunfungua pia secretary ambae imeaminika sana inatengeneza vitabu vya aina tofauti maana kwa sasa hakuna kusumbuka tena na kwenda bujumbura kuandikisha documents zenu

luba express inatengeneza vitabu vyama risiti ni kwamba asilimia kubwa ya wafanya biashara wanaotukia ndani ya soko kuu mjini Rumonge risiti zao zinatengezwa wa talamu wanaotumikia ndani ya jengo la ofisi kuu ya luba express

Luba express

Nini Luba express?

Luba express  ni shirika la kusafirisha abiria na vitu vingine mbali mbali popote.
Luba express ni kampuni kubwa inaetoa huduma mbalimbali 
Luba express ni kampuni inae aminika kwa kiwango cha juu
Mission & Vision
Lengo la kwanza la Luba express ni kuona nchi ya Burundi inapiga hatuwa kimaendeleo.

mkurugenzi wa kampuni amekaa sehemu na kufikilia akaona sio vema watu wasumbuke au wapate shida za usafiri kati ya hizi nchi mbili pacha apo tunazungumzia BURUNDI na TANZANIA

kwa hio ameamua kuwaletea usafili wa abiri na mzigo pia akitumia ustilabu , heshima na sheria ya nchi
basi Matakwa na melengo vyetu ni kutimiza ahadi na makubaliono yetu.
Ahadi yetu
Kufikisha abiria na vitu vyao kwa usalama na kwa muda uliokuwa mwafaka.
Kauli mbiu
Kwa safari ya haraka na uhakika.
Furaha yetu
Luba express tunafurahia kuwaona abiria wetu wameridhika .
Image

Luba express

Watu maalum , watu wa kipekee

Luba express tunafahamika vizuri kwa kasi yetu, kuheshimu muda na kwa kazi nzuri na ufanisi wetu

0%

Kuchelewa

100%

usahihi

100%

Ufanisi

Luba express

Wakala za Luba express

Kigoma
Wakala ya nchini Tanzania.
Kanyosha
Wakala ya nchnini Burundi, kusini ya jiji la Bujumbura.
Rumonge
Wakala ya nchini Burundi.
Makamba
Wakala ya nchini Burundi kusini ya nchi ya Burundi.
Sioni
Wakala ya nchnini Burundi sokoni kwa Sioni.
Mjini kati
Gari zinatumikia ndani ya mji wa Bujumbura.

Ushahidi

Luba express ni shirika ambalo limekuja kutoa msada wake kwa kazi ya usafirishaji wa abiria kutoka sehemu tofauti pia na kutoa mchango wake kwa maendeleo ya nchi na wana nchi wake ili kufikia mustakabali uliokuwa mzuri.
Ndiyo maana tunawatakeni muje kwenye wakala zetu tusaidizane kwa maendeleo yetu na ya nchi kwa jumla
Luba express

Kwa nini sisi?

Luba express tuna ushujaa na ujuzi kwa usafilishaji wa watu na biashara zao na mizigo mbali mbali.

Luba express inatambua madhara wanayoyapata abiria kwenye usafiri wao ndiyo maana tumejipa lengo la kutoa huduma bora kwa wateja wetu.

Nani sisi

Luba express est à votre disposition pour vos vayages et autres services de transport
Copyrigth2020.Lubaexpress. All rigths reserved

WAKALA

Kigoma
Rumonge
Bujumbura
Sioni

Contacts

+257 69 062 208
+257 71 718 388
+257 68 946 041

Tuma ujumbe

Andika email vizuri

Search